$
Select Payment Method
Personal Info

To make an offline donation, Use below Bank options:

 

The People’s Bank of Zanzibar (PBZ)

Bank Name The People’s Bank of Zanzibar (PBZ)
Account Name Volunteers In Development
A/C No: 0451026000
Branch Lumumba St, Dar es Salaam, Tanzania
SWIFT CODE: PBZATZTZ

 

OR

 

Amana Bank Limited

Bank Name Amana Bank Limited
Account Name Volunteers In Development
A/C No: 001140813330001
Branch Kariakoo, Dar es Salaam, Tz
SWIFT CODE: AMNNTZTZ

 

 

Payment Through Phone

Name: Volunteers In Development

Thank You !..

Donation Total: $100.00

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

Any questions ?

Phone 202 303 405

mufti mkuu wa tanzania aitaka jamii kuelekeza nguvu VID

Mufti na Sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir, amezitaka jamii
kuelekeza nguvu kusaidia watoto yatima wa majumbani, kwani ni kundi
ambalo limesahaulika zaidi katika jamii.
Mufti ameyasema hayo katika tukio la harambee ya ujenzi wa kituo cha kijamii
na vifaa vya shule kwa watoto yatima wa majumbani lililofanyika tarehe 26
Novemba 2023 Hyatt Regency Hotel jijini Dar es Salaam.
“Niwapongeze kwa kuanzisha taasisi kama hii kwani ingekuwa watu wanajua
wale mayatima wangekaa huko majumbani na misaada kupelekwa wakiwa na
familia zao ili mtoto yatima aone huyu anaesimamia mambo yangu ndio
mama au baba mwenyewe”.
Aidha ameipongeza taasisi ya Volunteers In Development (VID) kwa kazi
kubwa wanayoifanya na kuwafungulia mlango wa BAKWATA kushirikiana nao
katika masuala mbalimbali ya ili kuleta maendeleo pamoja.
Kwa upande mwingine, Meneja wa VID amezishukuru taasisi na wadau
mbalimbali waliojitokeza kuunga mkono jitihada hizo kwani ujenzi wa
maendeleo ya jamii unahitaji nguvu toka kwa wadau mbalimbali.

January 2025
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *